Tuesday, April 19, 2011

Wazanzibari wakijipanga watapiga hatua kubwa ya maendeleo

Na Mwandishi Wetu

"UMOJA ni nguvu, utengano ni udhaifu. Mkataa wengi mchawi. Kidole kimoja hakivunji chawa".

Ni baadhi ya misemo ya Kiswahili yenye maana ya kuhimiza umoja na kuonesha kwamba unasaidia kufikia malengo.

DIASPORA ZANZIBAR

     MAAZIMIO

1. KUTUMIA MAJIRA KAMA CHOMBO CHA MAWASILIANO KWA WATU WA UNGUJA NA PEMBA.

2. WAMEITUMA MAJIRA KAMA SEKRETARI YAO KUPELEKA UJUMBE KWA WATU WA UNGUJA NA PEMBA KWA JITIHADA HII MPYA YA MAENDELEO INAYOANZISHWA NA DIASPORA KWA AJILI YA KUWAUNGANISHA WADAU WOTE WA MAENDELEO.

3. TUKAZINDUE KAMATI YA MAENDELEO YA UNGUJA NA PEMBA ITAKAYOKUWA NA WAWAKILISHI KILA WILAYA.

4. KURATIBU HITIHADA ZA WADAU ILI ZIWEZE KUTHAMINIWA NA WALENGWA NA KUWAREJESHEA MATUMAINI.

5. KUUNGANISHA NGUVU ZA WADAU NA MAENDELEO.

6. KUANZA JAMBO MOJA LA MAENDELEO KATI YA ELIMU, TIBA, MADUKA NA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI.

7. KUJENGA UTAMADUNI ENDELEVU.

8. KUFUNGUA COLLECTION ACCOUNT.

9. KUJUMUISHA DIASPORA ZA NJE NA MITANDAO KAMA zanznet.

10. KUSAJILI UMOJA AMBAO ULIPENDEKEZWA UITWE TAASISI YA MAENDELEO YA     WAZANZIBARI (TAMAWA AU TAMAZA).

- BLOG YA ZANZIBAR:
www.majirazanzibar.blogspot.com